Watawala wa Afrika Wanapaswa Kujifunza toka kwa Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya.
Imekuwa ni Tabia inayoota usugu miongoni Mwa Baadhi ya Watawala ktk Nchi za Afrika Kugeuka Kuwa Miungu watu Kwa Kudhani kuwa Madaraka waliyo nayo hayapaswi kuhojiwa na MTU Yeyote.
Rais Uhuru Ameonyesha Ukomavu Mkubwa Sana wa kisiasa,kwani Angeruhusu Majeshi ya Kenya Kumshughulikia Raila Odinga na Wafuasi wake Angeweza kufanya hivyo sababu majeshi yote yapo chini yake,Lakini Rais Uhuru hakuweza kufanya hivyo akijua kwamba kwa kufanya hivyo angesababisha Machafuko Kwenye Nchi Ambayo yeye ni Rais wake.
Lakini pia alitambua kuwa katiba ya Kenya inatambua uwepo wa Rais Mmoja tu wa Taifa hilo,Hivyo aliona amwache Odinga Aape tu ili auridhishe Moyo wake na wafuasi wake.
BILA BUSARA ZA RAIS UHURU LEO KENYA PANGEKUWA NA MACHAFUKO MAKUBWA SANA.