Na Augustine Kinunda.
Hatimaye ndoto ya muda mrefu ya Kwaya ya Mtakatifu Sesilia Parokia Kihesa Iringa,ya kumiliki kitega uchumi yaanza kutimia.
Akizunguza M/kiti wa Kwaya hiyo Mr.Kilumile siku ya Harambee ya kuchangia ujenzi wa kitega uchumi hicho,Mwenyekiti hiyo alisema tayari Kwaya imepata eneo la kujenga kituo hicho ambacho ndani yake kutakuwa na studio ya kurekodia nyimbo,Ukumbi kwaajili ya shughuli mbali mbali,Hostel na viwanja kwaajili ya mchezo mbali mbali mbali.Kituo hicho kinategemea kugharimu Tshs 390,000,000/=
Katika Harambee hiyo Kwaya Rafiki nao nao hawakuwa nyuma kushiri harambee hiyo,ambapo kila Kwaya walichangia jumla ya Tshs 500,000/=,
Na ktk harambee hiyo walifauru kukuaanya jumla ya Tshs 5,000,000/= na Ahadi 9,000,000/=
Wanakwaya wakisalimiana na walezi
Kwaya ya Bikira Maria Consolatha (BMC) parokia ya mshindo wakionyesha furaha yao.
Kwaya wenyeji (Mtakatifu Sesilia) Wakijiandaa kutumbuiza.
Kwaya ya Mtakatifu Joseph toka parokia ya Ipogolo wakikabidhi mchango wao.
MC.Mr Simbert wakifanya kazi yake kwa umahiri mkubwa
Mwanakwaya mdogo kuliko wote naye alifauru kuchangisha jumla ya Tshs 200,000/
Kwaya ya Moyo Mtakatifu wa Yesu toka parokia ya Kihesa nao wakikabidhi mchango wao
Kamati ya mipango na uchumi wakikusanya pesa na kuhakikisha Hesabu zinakaa vizuri.