Wanakwaya wametakiwa kuimba kwaajili ya sifa na utukufu wa Mungu kwani ni njia nzuri kwao ya kupata utakatifu.Hayo yamesemwa Leo na Mwl Goodluck Mdugi wakati wakifanya maandalizi ya Misa ya shukrani ya Mavuno katika Parokia ya Kihesa jimboni Iringa yatakayo fanyika Tar 29/07/2017 katika kanisa la kiaskofu jimboni Iringa. Misa hiyo inategemewa kuhudhuriwa na waumini wengi wa parokia hiyo ya Kihesa
Friday, 28 July 2017
WANAKWAYA WATAKIWA KUIMBA KWAAJILI YA SIFA NA UTUKUFU WA MUNGU.
Diterbitkan July 28, 2017
Tags
Artikel Terkait
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
KWAYA YA MTAKATIFU SESILIA KIHESA WAMEKULETEA KALI ZAIDI;
USIPANGE KUIKOSA
EmoticonEmoticon