Ora et Labora (Sala na Kazi)
Mahakama Kuu Dar imemhukumu muigizaji Elizabeth Michael 'Lulu', kifungo cha miaka miwili jela baada ya kumtia hatiani kwa kuua bila kukusudia. Lulu amepewa adhabu hiyo Baada ya kutuhumiwa kumuua bila kukusudia Msanii Mwenzake Steven Kanumba.
EmoticonEmoticon
USIPANGE KUIKOSA
EmoticonEmoticon