Ikiwa ni Miezi Michache imepita Tangu Jimbo la iringa limpoteze Padre Ponsiano Myinga kwa ajali ya Gari,Jana Jioni Jimbo hili Limepata tena Majonzi Makubwa kwa Kuondokewa na Padre wake Vedastus Mahimbi,ambaye alipata Ajali ya Gari Maeneo ya Njombe,Akiwa safarini kuelekea Iringa. Ajali hiyo imetokea baada ya kugongana na Lori Uso kwa Uso.
Padre Mahimbi alikuwa ni Mlezi na Mwalimu katika Seminari ya Mtakatifu Agustino peramiho Mkoani Ruvuma(Songea).
Thursday, 1 February 2018
JIMBO KATOLIKI IRINGA LAPOTEZA PADRE MWINGINE KWA AJALI YA GARI.
Diterbitkan February 01, 2018
Tags
Artikel Terkait
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
KWAYA YA MTAKATIFU SESILIA KIHESA WAMEKULETEA KALI ZAIDI;
USIPANGE KUIKOSA
EmoticonEmoticon