Katika Maisha Ya Binadamu Hapa Duniani Zinahitajika Jitihada Za Pekee,Na hasa Jitihada Binafsi za Kujifunza Mambo Mbali mbali,ili Kufanya Maisha ya Baadaye Kuwa Rahisi Zaidi.Katika Zama Hizi Zenye Changamoto Nyingi Zinazo tokana na Utandawazi,vijana Wengi Hawataki kufanya Kazi Halali Zitakazo Wapatia Kipato Halali.Wengi Wanapenda Kuishi Maisha Mazuri kwa njia za mkato,Kitu Kinacho Wapelekea Kuingia katika Matatizo Mbali mbali.Vijana Wanao Jielewa Wanajitahidi Kujifunza Mambo Mbali mbali sasa,Ili kutengeneza Maisha Bora Yajayo,Kama wengi wanavyopenda Kusema "Mchumia Juani Hulia Kivulini".Vijana wa VETA Iringa Wana jitahidi Kusoma Kwa bidii ili Kutengeneza Maisha Bora ya Baadaye. Hongereni sana Vijana Kwa Kutambua Thamani Ya Elimu.Hakika Kuishi ni Kujifunza.
Wednesday, 9 August 2017
KUISHI NI KUJIFUNZA:
Diterbitkan August 09, 2017
Tags
Artikel Terkait
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
KWAYA YA MTAKATIFU SESILIA KIHESA WAMEKULETEA KALI ZAIDI;
USIPANGE KUIKOSA
EmoticonEmoticon