Katika Kile Kinacho Onekana Ni Kutambua Haki Yao Ya Kikatiba,Wakenya Wamekesha Katika Vituo Mbali Mbali Vya Kupigia Kura.Mpaka Sasa kuna Hali ya Manyunyu Ktk Baadhi Ya Maeneo Nchini Kenya,Lakini Watu Wameendelea Kubaki Katika Mistari Kwa Utulivu Mkubwa.Katika Mataifa Mengi ya Afrika Kipindi Kama Hiki Wale Wanao Hitaji Kupigiwa Kura Wanajenga Urafiki na Wapiga Kura na Kuwapa Ahadi Kede Kede,Lakini Baada ya Kuchaguliwa Wanabadilika Kabisa na Hata Wakati Mwingine Kuzikana Ahadi Walizo Ahidi Wakati wa Kampeni.Hongereni Wakenya Tunaamini Mtachagua Kiongozi Atakaye Furahia Hali Bora ya Maisha ya Watu Wake,na Siyo Mtawala Atakaye Furahia Kukalia Kiti cha Utawala.
Monday, 7 August 2017
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
KWAYA YA MTAKATIFU SESILIA KIHESA WAMEKULETEA KALI ZAIDI;
USIPANGE KUIKOSA
EmoticonEmoticon